Jumanne, 20 Agosti 2013

SALAM ZA UKARIBISHO KWENYE BLOG.



        Ndugu mpendwa,

                Blog hii ambayo imeanzishwa itakuwa ikitoa maelezo na mafundisho mbalimbali ya neno la Mungu pamoja na ya kijamii ili kutusaidia kujua tumetoka wapi na tunaenda wapi na zaidi sana Mungu alikuwa na matarajio/kusudi gani na sisi pindi alipo tuumba, tutaangalia mambo mengi ili kusaidiana na kutimiza dhima yetu tujue kuwa kama wanadamu ambao Mungu alikusudia kuwepo duniani nini furaha yake kwetu kutuona tuwe kwa namna gani hivyo ni furaha yangu kuwa tutakuwa pamoja katika kutoa mawazo na mchango mbalimbali ili kusaidiana hatimae wote kwa pamoja tufurahie duniani hata mbinguni.

                                  karibu saaaaaaaana, rafiki yangu!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni